@CypherSmitRowe Ismail mungu alisema amtak huyo mtot kwsabu alixaliwa nje ya ndoa,Isaac ndo mtot ambae mungu alimkubali ndipo ata mungu akamjaribu Ibrahim kuwa amtoe sadak
โKuondoka uwanjani kabla ya mechi kumalizika dhidi ya Spurs ni jambo ambalo najutia โ lakini pia nilihisi kukosewa na Erik ten Hag"
โHairuhusiwi kwa mimi,kocha kuniingiza uwanjani kwa dakika tatu za mchezo. Samahani mimi sio mchezaji wa hivyoโ. Cristiano Ronaldo.
#KitengeSports