Mlisema tukaskia!
Huu mwezi ni ku-upgrade to the epic S21. Trade in your old S Series, Note Series and A80 and get a TZS 575,000 discount.
Cheza kama wewe!
*T&C's apply
Moja ya malalamiko yaliyotajwa na ubalozi huyo ni kuhusu uwepo wa kura feki katika uchaguzi huo ambao, matokeo yake yanaendelea kutolewa.
https://t.co/O5rCTrGNQw
Zimebaki siku 34 kabla ya October 28 tarehe ya uchaguzi. Tumalize kazi hapa RETWEET kwa @TunduALissu na LIKE kwa @MagufuliJP. Saa1 asubuhi tutatoa matokeo
@fatma_karume Kwa nguvu gani ulizo nazo mpaka ukahamasisha watu kumpinga raisi atakae pitishwa na watu. Acha ufala lea wajukuuu zako nnchi imekushinda hii. @tls
Nchi hii ina halmashauri 186 kwasababu ya panic wametangaza ajira 13,000 ukichukua hizo ajira ukagawa kwa halmashauri hiz kila halmashauri itapata walimu 70. Tarime Dc pekee tuna shule za msingi 113 na Sekondari 34 imagine kwa nchi nzima. #hapabado hujafanya kitu mzee
Alimtukana Askofu Pengo akaona haitoshi, akawaambia Waislamu angegeuza Misikiti Sunday school. Jana ameona haitoshi ameamua kumtukana mtu aliyeijengea heshima #Tanzania kwa kuitangaza NDANI ya nchi na nje za nchi Bi Kidude. AIOMBE RADHI familia ya Bi Kidude.
,Pseudo pastor