"Bwana ndiye mlinzi wako; Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume. Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku. Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, tangu sasa na hata milele." {Zab. 121:5-8}
MIKUMI STAND UP✌️✌️
Shughuli ni Watu na Watu wenyewe ndio Sisi, Hakuna Kulala mpaka KIELEWEKE✊LEO kituo kinachofuata Vijiji vya NYAMENI na NYALI kata ya ZOMBO.
#Nitumenitena
MIKUMI STAND UP✌️
Tunatimba kona zote kama UFAGIO wa zamani, Leo tukutane katika vijiji vya IWEMBA na TUNDU kata ya KIDODI, Hakuna Rangi wataacha kuona💣💣💣🔥
#Nitumenitena
Kama huyu Prof ingekuwa ni yeye alibomolewa nyumba yake kupisha ujenzi wa barabara na Serikali haikumlipa fidia wala kumpa hata Kiwanja, leo angekuwa anaishi wapi? Angeitetea hiyo Serikali kama anavyoitetea au ndo mkuki kwa nguruwe kwa binadamu machungu?
Nawaona Watu Wengi Wakiongea Maendeleo Ya Miundo Mbinu Wanaitaja Daresalaam Tu!! Hata Walioko Mikoani Wakiulizwa Maendeleo Wanataja Vitu Vilivyoko Dar Tu!!
Hii Ina Maana Kuwa Mikoani Hakuna Maendeleo Ryt!? Ama Daresalaam Ndiyo Tanzania!!?
Kama sijakufollow please please naomba uretweet hii twiti nikufollow Sasa hivi. na Kama nimekufollow endelea kuangusha handle watalaamu wapite nayo Kama kawaida🙏🔁 wata follow back
Baada ya polisi kuvamia ngome ya mgombea ubunge Chadema @godbless_lema na kuchukua vifaa vya utendaji walisema wanatafuta wahamiaji haramu, baadae tuhuma zimebadilika na sasa wanasema 'computer' walizochukua zinatumika kuingia kwenye mifumo ya kibenki. Vijana wengi wamekamatwa.