@EsirEid Kwa maoni yako kipi kingefaa kifanyike kwanza?
1. Ajaribu kurekebisha na kulirejesha kundi hilo kupitia taratibu za ndani za kichama? Au
2. Aitishe PRESS aanze kupambana nao hadharani kwa kuyasema wanayopanga kabla hajashauriana na viongozi wa chama
@Xplsn63@fbuyobe Nadhani kama umesoma vizuri chapisho hili, tatizo halijaanzia kwenye uchaguzi bali nia binafsi za baadhi ya wakuu kuelekea uchaguzi. Bila huo "ubinafsi wa madaraka" uchaguzi usingezalisha hizi vurugu.
@tazamaMbali@masoudkipanya Ili kuwa huru, lazima tukubali ku-wok. Bahati mbaya kinachoweza ku-mobilise wananchi kutembea na lengo moja ni serikali kupitia usimamizi wa dira yake. Lakini, tunayo bahati, teknolojia inaweza kusimama ku-push wananchi ili waipush gvt ielekee huko! KU-WOK lazima!
@Kkimatar @falsafa22_ @mshambuliaji Kwa hio bado hadi sasa hujaona impact ya sera ya "Tanzania ya viwanda?". Umeharibu kutembelea Kibaha Indestrial Area ukaelewa ni kitu gani? Kule walipo CHINA BODA TECHNICAL GROUP, TATA n.k (maeneo jirani na Loliondo). Septa ya elimu hukuona? Umeme pia? Ulitaka uone nin zaid