Tom Hardy once said: "Being alone for a while is dangerous. It's addicting. Once you see how peaceful it is, you don't even want to deal with people anymore".
Kama Watanzania hawatakuja kushiba Katiba, kwahiyo watashiba nini? Standard gauge na Stiegler's Gorge? Watashiba barabara, mahospitali na vituo vya afya? Watashiba madaraja tozo na madarasa? Kama hawatashiba hayo yote na yanafanyika, kwanini #KatibaMpya isiandikwe? Priorities!!
@Santacia Mungu aniweke nitimize ndoto ya kuipiga chini 🍺🍻🥃mazima.
Hiyo ikiondoka, mengine yote yanaondoka nae.
Ama nimeweza hii Holiday sijagisa kabisa....badi nimekuwa na mwanzo mzuri
@ReganTesha_ @eastafricatv@zittokabwe@ACTwazalendo Tuna ujinga mwingi....unampa moyo wa nini?
Kunatakiwa citizen engagement kwenye hii movement ya Katiba mpya....hawa wanasiasa sio wakuPudh hili jambo, too greedy.
Sawa mnakwenda kukopa alafu ndio kazi ambazo zinafanywa hizi. Miradi inatumia fedha nyingi lakin chini ya kiwango kiasi kwamba ni kama hela tumeitupa chooni. Tatizo ni mfumo na usimamizi. Ccm haiwezi kuendelea kubaki madarakani tena.
@kazikwanza@HKigwangalla Muulize yeye alichaguliwa na nani? Ni mamlaka gani imempa Ubunge?..... Akikujibu nipo palee Villa nakula Samaki uje uchukie Hennessy yako😄