@SuluhuSamia MUUNGWANA Ukimfanyia wema siku zote Huwa ni Mwenye Shukran. Mtwana Hata Umfanyie wema kiasi gani atatumia wema wako na lazima ageuke na kuwa adui yako.
@SuluhuSamia Mama Piga kazi tuko nyuma yako. CCM Mbele kazi iendelee. Ni Muhimu Kumuunga mkono kiongozi wetu Mkuu wa Nchi Kwa Sababu yeye ndo Mdau namba 1 wa kila kitu katika Nchi yetu
@SuluhuSamia Tangu tupate uhuru hatujawahi kupeleka watoto wote walio faulu Sek. Mwaka 1 tu wa Mama wote hakuna hata mtoto aliye Baki nyumbani Nchi NZIMA. Basi muwe munaona aibu nyie wapinzani hamna hoja.
@mdudechadematz @SuluhuSamia Mama halali, anapiga kazi. Midomo ya wapinzani ilifungwa zipu, mama kaifungua inaanza Matusi. Utadhani walienda chuo Cha Matusi. Mimi kila nikitembea naona Maendeleo Nchi miradi inaenda.
@SuluhuSamia Mamaangu Samia,
Piga kazi sisi huku Iringa tuna Muheshimiwa wetu Hakika dendego tunakuunga Mkono. Kulia Kwa Muheshimiwa hapo ni Mtoto wako Abilal N, Mgovano.
@mdudechadematz @SuluhuSamia We umpumzishe kama nani bwana. Mwache rais wetu afanye kazi Kwa uhuru. Sisi wananchi wake tutamuunga Mkono. Hata hii katiba kipengele Cha kuruhusu Vyama kufanya mihadhara wakati Rais kashapatikana naona kingetolewa tu.
@ZanzibariYetu Kwakweli Tunamuomba mungu aendelee kuilinda Nchi yetu, Muungano wetu, Aman yetu, Rais wetu na Viongozi wetu kuitumikia Nchi yetu Kwa uadilifu Mkubwa. Haya yote yasingeweza kutokea kama tungekuwa hatuna Amani na Umoja kama Taifa. Kazi IENDELEE
@SuluhuSamia Kuhusiana na Mkataba wa bandari Mama usirudi nyuma. Unaweza boresha baadhi ya sehemu kama kuna ulazima huo. Wengi wa watu wenye chuki sio kwamba hawaelewi Mazuri unayo Fanya ila wanajizima data tu. 0715085557/765193953. Nipo tayari Kwa Ajili ya Nchi yangu na Rais wangu.
@SuluhuSamia MUUNGWANA Ukimfanyia wema siku zote Huwa ni Mwenye Shukran. Mtwana Hata Umfanyie wema kiasi gani atatumia wema wako na lazima ageuke na kuwa adui yako.
@SuluhuSamia Zanzibar ni kisiwa kilicho jitenga kijografia. Tanzania Bara imepakana na Nchi Nyengine ambapo ndo kuna Malengo ya kufanya Biashara na hizo Nchi. Zanzibar itafanya Biashara na Nani?
@SuluhuSamia Mamaangu Piga KAZI,
Tunafahamu kuwa huu ni upotoshaji wa Makusudi. Wanasema umeuza bandari Zetu na kuacha za Zanzibar. Wanatamka haya Maneno hali ya kuwa ukweli Wana uelewa. Swali tu dogo.