Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Czech Mhe. Miloslav Staŝek pamoja na ujumbe wake wa wafanyabiashara/wawekezaji wameridhishwa mazingira ya biashara hapa Tanzania na kuonesha utayari wa kuwekeza katika sekta za Kilimo na Viwanda.
KAZI INAENDELEA 🇹🇿 🚉
Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) Kazi Inaendelea 🚉
1. Ujenzi wa SGR Dar es Salaam hadi Morogoro (Km 300) 93.5%
2. Ujenzi wa SGR Morogoro hadi Makutupora (Km 422) 71%
3. Ujenzi wa SGR Mwanza hadi Isaka (Km 341) 4%
#KaziIendelee#UtekelezajiwaIlaniyaCCM
Mkutano Mkuu Wa Mwaka Wa @AfriYANTanzania Umezikutanisha Zaidi Ya Tasisi 20 Kutokea Tanzania Bara Na Visiwani, Ambao Ni Wanachama Wa Mtandao Huu.
#AfriYANAGM2021#AfriYANTz
Congrats to Careen & Humphrey, two Tanzanian youth selected to attend the '@UN Youth4Climate: Driving Ambition' which is part of the Pre-#COP26 Summit taking place in Italy next week!
I wish them all the best & hope they come back & share the experience with their fellow youth.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Antonio Guterres katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Jijini New York Nchini Marekani Septemba 23, 2021.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jijini New York, nchini Marekani. https://t.co/JidQU4xfvO
Mhe. Rais @SuluhuSamia leo tarehe 21 Septemba, 2021 ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la @UN unaofanyika Jijini New York Marekani. Wa pili kushoto Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi @Amb_Mulamula .
Tanzania ni Nchi yenye vivutio vingi vya utalii ambavyo huchangia Pato la Taifa kwa kiasi kikubwa.
Hivyo kuvilinda, kuvithamini na kuvitangaza ni jukumu la kila Mtanzana.
"Tutafakari juu ya wachache wasiokua na nia njema na Taifa letu"
Hususan katika mambo ya msingi na ustawi wa taifa letu na jamii kwa ujumla.
Kazi iendeleeee. MH RAIS WETU !!!
#VIJANANASAMIA100/100
Mhe. Rais @SuluhuSamia akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F. Kennedy Jijini New York, Marekani leo Sept 19, 2021 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaotarajiwa kufanyika Septemba 23, 2021.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JF Kennedy Jijini New York Marekani leo tarehe 19 Septemba, 2021 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 Sept, 2021.
Kikao Cha Majuisho ya Ziara ya Sekretarieti Mkoani Mtwara.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Watendaji wa CCM na Serikali wakati wa kikao cha majumuisho mara baada ya kumaliza ziara ya siku mbili ya kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa Ilani