|AGR-INSURANCE|
Mchakato wa Bima ya kilimo Tanzania
|Maoni na Mapendekezo kutoka kwa wadau|
|Process of implementing Agricultural Insurance Modal In Tanzania|
Zaidi 80% ya w.Tanzania hutegemea kilimo
Na zaidi ya 1\2 ya wakulima wa Tanzania
Ni WANAWAKE
Elimu ya Bima ya mazao pamoja na Taarifa kwa WANAWAKE
Itasaidia Mwitikio chanya kwa jamii ya
Watanzania dhidi ya changamoto za
Tabia nchi
KATA BIMA LINDA MAZAO WEWE MWANAMKE
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Mwitikio wa Bima za Mazao kwenye
Shughuri za kilimo Tanzania bado zinakumbwa na changamoto ya ufikishwaji wa Taarifa sahihi na Elimu kwa wakulima
@wickama OK, ila Sijui kama imekaa sawa kwenye INTERNET
/Bima=(Risk Financing Modal)/
Ila yaweza kutumika kurahisisha usambazaji na Utumaji wa Taarifa pamoja na Bidhaa za Bima kwa wakulima.
Athari ziwezazo Kupatikana Kwenye shughuri za Kilimo Biashara Lazima zilindwe ili kuweza kupata matokeo chanya Yenye lengo la Kuiendeleza Jamii iliyojiajiri kwenye Kilimo.
#BimaYaKilimo ndo njia sahihi ya kulinda athari zote zipatikanazo kutokana na mabadiliko ya Tabia nchi.
Tunatoka kule Ambapo Kilimo Kilikua ni Shughuri ya Kujitafutia Chakula kwa ajiri ya Familia tu (Kilimo cha kujikimu)
Tumekwenda kule ambapo Kilimo Ni shughuri ya kiuchumi (Kilimo Biashara)
Mabadiliko haya yamefanya kutumia nyenzo zilizopo ili kuweza kuendana na soko
Ndio Msingi sawia wa kutengeneza Jamii yenye uhakika wa chakula na Ustawi Bora wa Kilimo Nchini
Kujikinga dhidi ya Majanga Kwenye Kilimo ndio HABARI YA MJINI.
(KATA BIMA LINDA MAZAO YAKO)
@FAOTanzania@HusseinBashe@pass_trust@Agri_FinanceKe@TIRA_TZ@tadbtz @tzagriculture
Usalama wa chakula Unategemea Matokeo ya Tabia nchi, Asilimia zaidi ya 80 ya wakulima wa Tanzania Wanategemea Hari ya hewa ili kuweza kupata Mazao kwa ajiri ya Biashara na Chakula
Elimu sahihi ya Bima ya mazao Na Uwepo Wa vifurushi Bora vya Bima Kwenye soko La Bima kwa wakulima.
#TOURISM: Tanzania's Singita Sasakwa Lodge has been declared the World’s Best Safari Lodge 2020.
The announcement was made during the Annual World Travel Awards Grand Final 2020.
The Lodge is located in the Great Serengeti National Park, comprising of seven cottage suites.
How does Agriculture Insurance (Crop Insurance) Help Famers in Loan processing?
Regardless of Its core Role of Risk Financing in Agriculture Value chain.
"We are planning to invest $1.2 million for irrigation to be able to plant 65 hectares of Macadamia which is a very healthy and high value crop. We’ll also invest in 110 ha of seed maize. Investors are welcome to take part", Osmund Ueland, Chairperson, Farm For The Future TZ Ltd