@FKihamu Issue hapa ni tuzo ya mwezi Augost inayojumuisha mechi zote ambazo zimechezwa Augost ikiwepo pia mechi moja ya Yanga, kwa sababu unachokisema wewe ni kwamba mechi ambazo zitachezwa Septemba zitumike kupata mchezaji bora wa mwezi Augost which kwangu mimi sioni kama ni sawa