Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume linaendelea kutimiza wajibu wake wa kitume. Hili la kuwaombea waliopoteza maisha, waliojeruhiwa na waliopoteza ndugu na jamaa katika vurugu za uchaguzi mkuu ni ibada njema. Ahsante sana Mhashamu Baba Askofu, Jude Thaddaeus Ruwa'ichi, OFMCap, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzaniaβ¦ππΎ