@KenTheRemedy Oi Sumbawanga Kwakina @officialMKEREWE Fiesta2022 Imewafungulia Dunia Ni Kuweka Maneno Mpk Kahama Town AyeeeeeeeeE βπΎππΎπ€ͺππ
Leo kwenye Twitter nimefikisha wafuasi milioni Moja, kwa Kifupi mimi ndiye mwanahabari wa michezo mwenye Nguvu zaidi kwenye mtandao huu wenye nguvu Duniani.Tanzania na Afrika Twitter imeamua kuniheshimisha na kunipa ukubwa.
Ahsante kwa Heshima,ahsante Mashabiki wangu.