@Uchebeh6@lifeofmshaba Kwann muda wote hajapima?. Ndo ujue ni wa kwake, hana cha kujitetea hapo. Hamna anayependa aibu kaka, hata ningekua mimi cha kwanza ni DNA test. Hateteeki huyu.
@Uchebeh6@lifeofmshaba Na ndio inatakiwa ivyo, ili upumbavu wa kuzalisha zalisha hovyo kama sungura uishe. "Unatakiwa kupika kinachokutosha tu ili usitupe chakula. Hii binsawa na kuzaa au kuzalisha, uzalishe unaoweza kulea tu.
@Uchebeh6@lifeofmshaba Yan unazungumzia kumnasa makofi mtu mzima na unaona iko sawa!, pia unaona ni sawa kwa uyo jamaa kumtelekeza dada yako!. Ifike wakati kuitwa Mwanaume kujumuishe kutimiza majukum yako, thats including, kulea mtoto/ watoto wako. Uanaume sio midevu tu na kuzaa zaa ovyo
@Uchebeh6@lifeofmshaba Kwahiyo unaona kilichofanyika ni sawa tu right?. Waswahili wanasema "chizi akitokea kwenu hachekeshi". Sasa emagine huyo mwanamke ni Dada yako/ Mama/ Shangazi!. ๐