@___BackBencher@JChikundu Fadhil Mtu sana yule Jamaa mi ni shabiki yake saana na juzi kati alitoka kumzaba Muhuni mmojaa huko Asia kama sijakosea Ulaya
@Sautiyarohoni@fredkalisa10@MrDepalitto9 Wewe ndiye wakujifungia ndani na usome maana ulileta andiko la Wathesalinike sahivi umeleta andiko la Kutoka 20 utaelewa tu
@Sautiyarohoni@fredkalisa10@MrDepalitto9 Neno la Mungu halihitaji Marekebisho ndugu yangu alisema asiye fanya kazi na asile hakusema kazi siku ya Saba (SABATO) bali fanya kazi kwa siku SITA siku ya Saba Ni Sabato Takatifu ya Bwana sio yetu hapana ni ya BWANA. usitie hekima, uelewa wako neno la Mungu halitaki marekebisho
@yulerichbrazaa@simbamkuu@Tonytyga_@Josephwagine1@MrDepalitto9 Mmekubaliana kuvunja Amri na mnatiana Moyo wakubwa iwe ni hekma iwe ni uelewa wetu mdogo niwakumbushe tu Amri za Mungu ama Neno la Mungu halihitaji Marekebisho alichokisema kinabaki vilevile ikiwa kuna Raia anatamani atie marekebisho akamuulize Uzah 1 sam 6:6-9 Mbarikiwe
@nahoimaganpal @cityfan1tz@MrDepalitto9 Waislam wanaabudu siku ya 6 ambayo sio Amri na haipo kwenye Amri 10 za Mungu wao wanaabudi siku ya 6 ya Uumbwaji wa Adamu