Asanteni Watanzania, asubuhi hii tumetimiza milioni 42 mahitaji ya baraza kuu la wananchi ni milioni 334.. Bado tuna mda kama haujachanga tafadhali Fanya hivyo..
Tuma mchango wako kwa namba hizo hapo Kwenye tangazo, voda au NMB bank.
Kila mtu achangie kile alichonacho.
@Sisimizi3 Meena yupo sawa kabisa Kwa wale wote wajinga waliojaa kwenye mfumo wake, na kuanza kuwa busy kuona Kwa ujio wa Rio na kutoa airtime Kwa kuzungumzia.
Mission Imekubali.
@Aruatani Leo Leo kazi Ipo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sema Combi inaweza ikakubali, Mwamba mpiga picha, Bibie presenter
Hapo ndani ya nyumba ni Content tu na matukio.
@godbless_lema Mungu ana namna nyingi Sana katika kutengeneza anguko la mtu ili kuponya watu...Kaka Mda mwingine kunywa Maji ukishuhudia kazi ya Mungu.