@earadiofm Tuanze na katiba mpya itakayobeba mambo ya wananchi wote na maslahi mapana ya nchi yetu kwa kizazi kilichopo na kijacho
Tume huru ni hitaji la wanasiasa wanaotaka vyeo. Hata hivyo tume huru ipo ndani ya katiba mpya
#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi