Maendeleo jumuishi yanahitaji ushiriki wa vijana wote bila ubaguzi, vijana wenye ulemavu, wa vijijini, wasichana na makundi yaliyotengwa. Muhimu kuhakikisha wanapata nafasi ya kushiriki katika mijadala, mipango & maamuzi ya maendeleo yao na jamii
#KijanaImara | #AfriYANTanzania
UJENZI UNAWEZA KUKUGHARIMU ZAIDI KULIKO ULIVYOPANGA! 🏗️
Epuka makosa haya 8 yanayoweza kuongeza gharama za ujenzi bila sababu:
✅Kuanza ujenzi bila ramani ya kitaalamu.
✅Kutumia vifaa vya ujenzi vya ubora duni.
✅Kupuuza upimaji sahihi wa kiwanja.
✅Kutozingatia mipango sahihi ya ujenzi.
✅Kuanza ujenzi bila maandalizi ya kutosha.
✅Kukosa ushauri wa kitaalamu.
✅Kusimamia mradi bila utaalamu.
✅Kubadilisha michoro mara kwa mara wakati wa ujenzi.
KUMBUKA: Panga vizuri, tumia wataalamu na simamia kila hatua ya ujenzi ili kuepuka gharama zisizo za lazima.
🏢 GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES
Huduma zetu:
• Architectural & Structural Designs
• Building Plans & Approvals
• Bills of Quantities (B.O.Q.)
• Construction & Project Management
• Land Surveying & Consultancy
• Vifaa vya ujenzi
📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp)
📍 Dodoma, Barabara ya Tisa.
@Geo_Traverse | @GeoConstructors
#GeoTraverse #GeoConstructors #UjenziTanzania #ConstructionTips
Ni weekend nyingine Mungu atubariki kwenye kila tuliendalo leo
Atuepushie mitihani hasa huko barabarani
Kabati la nguo milango mitatu
400,000
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏