@Adambrv@ezekiel_kamwaga Miundombinu yetu hususani Barabara zetu ziko dhoofu lihali. Kwa sasa highway karibu zote zimejaa mashimo. Barabara za mijini nazo hali ni ileile.
@ezekiel_kamwaga@FareedZakaria Kwa maelezo yako Instagram baada ya tamasha la miaka 30 ya BF, Tanzania mbona hatuna shida yoyote. Au Yale maelezo ulikuwa humaanishi Kamwaga??
@ezekiel_kamwaga Lower middle tulishatoka. Labda utazame report za WB hivi karibuni. Deni la Taifa linaelekea kutokuwa himilivu. Jirani Uganda ametuzidi PPP hivi karibuni. Huoni tunaanguka Kamwaga?? Lower middle tuliingia wakati wa JPM, au kwa kuwa JPM hakukusafirisha??
@Benji_Fernandes@HildaNewton21 Benj acha kujiliza. Baba yako Siku chache kabla ya Uchaguzi alibariki suala la watu kupigwa. Siku ya Uapisho akajifafanya kama kaguswa vile. Sasa hivi anaisifu hii awamu kwa namna inavyotoa ushirikiano Kwa Makanisa ya Kilokole.
Ezekiel sisi ni watu wazima. Ujumbe wako uko wazi kwamba umetaka kumlisha maneno Mnyika ili kumfedhehesha. Kwa sasa nafahamu umenogewa na Kandarasi za Chama na Ziara za Samia ila tuupe muda nafasi ๐.
Muwe mnaelewa basi maana ya kuweka au kutoweka alama za kunukuu. Wewe umenukuu maneno ya kiongozi wako, mimi sijamnukuu mtu. Ni maneno yangu mwenyewe. Sasa kama huelewi tofauti ya kunukuu mtu na kutonukuu, kuna kitu unaelewa kweli?
@ManLikeFrey@BillyTronix1@Maestrowafact Bwana Frank mbona hapo ilikuwa ndio fursa ya kuwakata ngebe mabeberu kwamba hatuwaogopi na tunajitosheleza. Wakitaka waweke vikwazo tu. 'Who are they?" ๐
@Maestrowafact Mkali point ya Msabaha ni kwamba mbambe Manyota Sasha alipaswa atumie hilo jukwaa kuwakata ngebe Marekani na washirika wake kama alivyowahi kuwananga kwamba 'Who are you?' hiyo ilikuwa ni fursa ya kuthubitisha kwamba hatuwabembelezi mabeberu sisi chini ya CCM hatupangwi ๐
@ezekiel_kamwaga Kamwaga ilikuwaje ukaamkia Dodoma kwenye uapisho?? Sisi sio wajinga bwana. Historia utakuhukumu kwamba wakati tukiwa na Utawala ulioua Watanzania wenzetu na wewe ulihusika.