@SuphianJuma Mama yako yupo kwenu umekaa unamsifia mama abdul. Huna lolote unatafuta teuzi Umasikini unakufanya unakuwa watumwa wa fikra. Hakujui huyo anakujua mama yako singida pambana na maisha acha kulilia mama za watu.
@vester__ Sababu ya kuwaondoa ni kutokana na imani ya raisi katika dini jinsi mwanaume na mwanamke wanaonekana baadhi ya viungo vyao vya mwili vipo wazi kiislamu sio sawa