@francismtey Wokovu sio dini, na Yesu hakuja kuleta dini.. as a matter of facts dini ni adui mkubwa wa Mungu maana anawafanya watu wakae kwenye sheria na kujihesabia haki ilihali hawana badiliko la kweli la maisha yao wakiamini dini zitawapeleka mbinguni, ila bado ni wazinzi, waongo nk
@francismtey Yaani ukishasema shetani ni baba wa uongo, tayari umeikubali biblia kama reference point ya taarifa sahihi. Sasa biblia hiyo hiyo unayoitumia kujua kwamba shetani ni baba wa uongo, inasema sehemu nyingine,mtu ukimkiri Yesu kwa kinywa na kuamini moyoni mwako utaokoka. Wokov sio dn
@DemetriusRO6@jumaf3 Which world ? You're using everything made by them and you think hating them will help you?
I'm pro Iran but not Pro Iran terrorist regime
@Millambo_ Chakula cha 800k mnashangaa kivipi ?
Kama unaacha 20k kila siku maana yake kwa mwezi ni 600k, hapo hujanunua gesi bado, na hujala wewe nje ya nyumbani.. mbona ni hesabu ya kawaida, unless utake kujibana sasa, hiyo ni jambo lengine... Ila standard ni kawaida sana
@Millambo_ Hapo inatoshaje sasa ? Nauli kwa mwezi 200k, chakula cha familia 800k ( watoto watatu na housegirl), Umeme na maji (100k), bundle na simu (100k), kodi (300k), mavazi binafsi na familia ( 200k), Shughuli za kijamii (100k), matibabu,outing na emergency (200k), hela imeisha