@barakaeli_nnko@AnalyticalTz@ExMayorUbungo Hao sio wapinzani, na ni pengine sababu ya uwepo wao ndio maana CCM ipo mpaka leo maana wanawatumia kama vibaraka wao. Kama ingekuwa siasa zetu ni za kufyekana mapanga, hawa wasaliti ndio wangekuwa wa kwanza
@mhabukat@Mdunguaji23@godbless_lema Uzuri ni kuwa baada ya kutolewa madarakani wale walio wema huwa wanatajana chain nzima. Hivyo lazima watafahamika hadharani. Wakati mwingine ni watu wanao heshimika sana kwenye jamii bila kujua kuwa ni wanyama kabisa
@PMacheyeki@MariaSTsehai Kwani akitubu kwa Mungu anatuandikia hapa X ? Kesha sema hadharani kuwa kuna mambo machafu aliyashiriki kimfumo akiwa huko hivyo tumsamehe, kuyaweka hadharani na kuhatarisha maisha yake inatosha KABISA
@Uchebe01@lifeofmshaba Hayo ni mawazo yake binafsi, unayahusishaje na chama? Chama kina msemaji jee kasema hayo?
Kwani anayofanya huyu mbunge huwa anagizwa na CCM?
@MariaSTsehai Kama kuna mtu aliwahi ku copy cv za Msukuma, Kibajaji na Sanga watuwekee ili dunia iendelee kuwafahamu wabunge wetu mahiri kwa kuzungumza wana vichwa vimebeba nini?
@Dr_DGwajima Mheshimiwa, nina hakika huyu hawezi fanywa chochote maana ni chawa wa mama anayetumika kwa manufaa ya chama chenu. Hayo mavideo anayotuma mara akiwa anagaragara kusifia CCM na mama ndio yana mlipa sasa. CCM wako tayari wakutose hata wewe wamlinde chawa Mwijaku, take care Dorothy
@mgemakulengwa@MariaSTsehai@HecheJohn Watu wa hivi mkiwajua toeni na detail zao, mke wake anajulikana kama nani (mama fulani), jee anaenda sokoni na saloon wapi? Watoto wake wake wanaitwa kina nani na wanasoma wapi? Hawata dhuriwa physically bali kisaikolojia na watajua mume na baba yao ni bora ya Nduli au mnyama!
@pastorzacq @mshambuliaji Hivi huoni kuwa hawa sisiemu wako madarakani kwa mapinduzi ya kiraia? Ukiiba kura na kupoka uchaguzi ni MAPINDUZI sawa na yale ya kijeshi! CCM watambue ukitawala kwa upanga utaondolewa kwa upanga tuu! Waacheni wajidai, time will come!
@HopeQuotes__ Muziki wa mwaka huu CCM itaucheza. Kuna uwezekano wa waliokwenye daftari la wapoga kura 10% ndio wakajitokeza kuonekana vituo vya kura kama juhudi za kweli hazitafanyika kurekebisha mambo, na hapo ndio mipenyo ya vijana wa makambini watakapo Anza kufikiri mawazo mbadala.
@OlengurumwaO@TunduALissu Demokrasia ni kusikilizana, lakini sio kuwasikiliza wahuni.
Jee katika hiyo list ya G55 kina Jenerali Ulimwengu kulikuwa na wahuni kama kina @Ntobi_ au @YerickoNyerereT ?
Sio kila movement ni ya kuipa nafasi maana zingine ni za wahuni na vibaka!
G 55 ni Kundi la Wazee Makini ,Wazalendo wa Tanganyika na wqloweza kumwambia Mwl.Nyerere Wazi kwamba Serikali 3 Ndiyo suluhisho. Hawa ni mashujaa wa Tanganyika hawakutafuta fursa za Ubunge bali utaifa wao na Haki katika Muungano.
Ni vema watu wote timamu kwa Heshima ya Wazee wetu ikiwemo Jenerali Twaha Ulimwengu,Njelu Kasaka,Philp Marmo,Lumuli Alipipi Kasyupa na Wenzao tuache kutumia jina la G55 ili kulinda historia jadidi ya Tanganyika na urejesho wake.
Hawa walikuwa 55 ndiyo maana waliitwa G55 haiwezekani watu 7 au kumi kujiita G55 ni kubaka na kunajisi historia ya Taifa letu.
@Oraibtz@lifeofmshaba Huu ndio ujinga ambao Chadema HAIUTAKI. Yaani unakubali kuingia kufanya vita huku unaita uchaguzi? Kule Ghana unapiga kura yako unakwenda kulala na kesho matokeo hakuna anaye lalamika kuibiwa.
Reforms zitaondoa kuingiza kiongozi kwa mapambano huju mnaita UCHAGUZI HURU NA HAKI
Uwezo wako wa akili na wenzako ni mdogo sana. Hivyo vyombo haviaminiki lakini viko kisheria hivyo kupewa taarifa ni wajibu. Akili zenu kwa kweli ni za ngumbaru kabisa, mnashangaa nini sasa? Hata hao wa kimataifa wanaelewa kabisa kuwa kwa nini nakala ya taarifa imefika bungeni?
๐๐๐๐๐๐ Kiukweli kabisa imebidi nicheke. Kwamba mkishamaliza mwisho kabisa ripoti mtaipa Tume. Tume hii ambayo hamuitaki? Bunge? Bunge hili ambalo mnasema halifai? Bila shaka akili zimeruka.
@WolterMuro@Ntobi_ Huna akili kabisa, hao bodaboda wenye akili wanaunga mkono kwa dhati kauli za Lema na wanafanya kazi hiyo sio kwa kupenda bali kwa sababu hawana njia ya kujitoa huko.
We unadhani ni starehe kwao? Mjinga kweli ndugu yangu wewe!
ZA NDANI KABISA
Tundu anataka kumfukuza Freeman na kumpokonya kadi. Anasema jamaa ndo anamkwamisha kufanya kazi. Siku niliwaambia Tundu ni mgonjwa wa akili na dikteta ambaye hajatoboa mkasema nina chuki. Subirini muone kazi ya chizi wodi ya vichaa. HAWAPONI. Hifadhini hii posti.