UPENDO USIOPIMIKA #UZI
Ni mwaka 2014 mwishoni, tulikuwa kidato cha 6 Mazinde Juu, binti aliyekuwa analala kitanda cha juu yangu, Happy alipokea taarifa za msiba wa baba yake mzazi. Zilikuwa taarifa za kusikitisha zilizobadili maisha yake daima. FUATILIA.
#DaktariMwandishi ๐ฃ
@mankadolly Nilivuka taa mida ya 8 usiku inaelekea sa 9 maeneo ya kibo ubungo, wakanikimbiza na ile probox yao ya doria wakanikosa, wakanikuta mliman nimepark wakapiga chen gari mtit ulikua mzto akaja mkuu wao wa doria nikalala ndan ila asubuh nikatoka baada ya kumuita mwanangu mmoja lawyer
@Nurjan_seyd Naoenda wanawake ambao wapo real kama wewe, ni nadra sana ukute mwanamke humu ndan aseme alikuwa anakunywa maji ya kandoro kwa namna walivyoweka standard zao, ila wewe umefunguka na kuna mengine mengi unafunguka sometimes upo kwenye daladala na wala sio ishu kwako, ๐ค
@mar3kani@spana_Konki Mtu mwema sana kimtandao, anapigwa vita sana lakin yupo cool tu nadhan atakublock kama tu umemtukana ila sio vita @Neypaul01 umepevuka sana kuish na watu humu
@EsirEid@eastafricatv Nadhan watu wema hufa mapema kwasababu wanajitoa sana kias kwamba hata wao wenyewe huumia na hawalion hilo.
Sababu ya pili ukiwa mwema hata wanadamu tunajisahau na kukutegemea wewe mwema kwa 100% hivyo Mungu huchukia na kuona mnamsahau yeye aliemleta huyo kiumbe mwema na kumte
@Abyasmzigua @ClaraKavin17559 @JayleenRickie@kapeto98@SadickTusia@OriginoZee17@RobhinEdson Kanuni ๐
1; amini mwanamke mmoja tu duniani (bimkubwa)
2; ikulu ikiangamia nchi haina maana tena (linda ubingwa wako mtoto wa kiume)
3; sio kila demu anapigwa
4; tafuta jimbo lako moja linalojambia mbali kama yusra then uishi kimasta
5; sisi ni wa pisi na kwa pisi tutarejea.