Kuna nyakati tulijitoa kuwapambania WATU ambao walitunanga kila tulipowapa mgongo, Wasichojua tuliwatetea walipotupa kisogo.
Shida, changamoto zetu kwao ziligeuka kero na usumbufu, Kimuonekano na kiuchumi walidai hatuendani nao.
Mungu kabariki kidogo tu!, wanadai tunawatenga🚮
@ali_nyang Timu hamna mule sema hamtaki kukubaki, ile ni YANGA ya Ulaya. Maneno mengi ila mipango endelevu hamna (huoni 5yrs plan) ni porojo tu! Mpaka tumeona wengine tuwaache kwanza mpaka wakiamua kua SERIOUS.