@meamswahili Ukikuta kocha anaropokwa kama shabiki ni wa kumdharau tu. Wakwende huko walipewa mualiko wa heshima na ni mashindano ya kidiplomasia tu nonsense kabisa APR Coaches
@Maswali12@earadiofm Na wewe tuondolee ushamba huko! Eboo picha ya kuchomekewa kabisa hyo,,, ingia youtube na insta huko utamuona alivyochakaa na mabuti akishiriki uokoaji,,, achekee maafa kweli,,, upo seriously?
@mapinduzinisasa@MfanyakaziNews Hizo porojo,,vibaka tunawajua tumeshindwa na wanatuibia kila siku ikiwezekana na wewe mwenyewe hapo ni kibaka sasa police tena tutaweza?πππππ
@Nchumali3@MfanyakaziNews Weee wametusimamisha kuendeleza ujenzi hyo barabara ila wamepotea miaka miwili sasa,,,, walipita na kupima, lkn imebaki story,,,, viongozi wetu wana ugonjwa flani wanaujua wenyewe,,,,, sina hata hamu ya kumsikiliza kiongozi wa sasa, waongo mno
@bbcswahili Hafu watoto wa ambao hawajafunga ndoa hawaruhusiwi kubatizwa! Hizi dini kwa ajili ya shinikizo la jamii tu ila misimamo yake kama CCM tu kwa CHADEMA
@BrycesonUrio@PKishamba Wewe 2012 ulikuwepo kweli? Baada ya goli tano Rais wa klabu alijiuzuru,,,, baraza la wazee na wanachama walichachamaa vibaya mno,,,,, hii ya Simba ni rasharasha tu,,,, tulia watu wateme nyongo watakaa sawa baadae. Darby ya Kariakoo sio kitu rahisi hata siku moja
@SamuelBoniphace@millardayo Ungegongwa wewe sasa na askari,,, kelele hizo mpaka Samia angekosa usingizi ikulu,,,, sometimes raia ni kama ndezi hivi sijui mpoojee
@millardayo Baadhi ya mitanzania ni mipumbavu sana tena mipumbavu kweli. DC kaagiza jambo kajitoa mhanga tu kashindwa kuvumilia upuuzi wa mkurugenzi. Unaenda China kujifunza kuendesha Halmashauri kweli? Very stupid and disgusting civil servants. Ila kwa kuwa ni wajinga hata PCCB watasafisha