@CatherineRuge Sio itauzwa imeuzwa tayari. Ukitoa bandari umetoa moyo wa Taifa. Kagame alisema akiipata yeye ataendesha nchi yake tukamkebihi. Kikwete anamshauri huyu mama kweli?? I don't think so.
@mdudechadematz Ni kweli kabisaa huwa wanapaswa kuhusishwa lakin Mara nyingi huwa hawapewi taarifa. Kama ilivyofanyika kwenye muswaada wa vyomba vya habari na takwimu
@EduTalkTz@SuluhuSamia Huyu ndie Rais pekee Tangia Tanzania iitwe Tanzania kuwa kwenye media kila baada ya siku 2 au 3. Anapenda spotlight sijawahi ona khaa.