Hivi walio imba wimbo wa Taifa ni wananchi wa Tanzania ๐น๐ฟ au ni Viongozi wa Chadema?
Maana huyu #Polepole simuelewi?
@RealHauleGluck
@halimamdee@HecheJohn
Kuna viongozi wa chama Tawala wanaongea maneno ya kukipona chama kingne lakini hawachukuliwi hatuwa yeyote.
Ila akiongea wa chama pinzani atajuta kuwa Mtanzania. Alafu wanatuambia kuna Demokrasia, hii n kweli jamani?
๐Kuna vitu nyuma ya pazia.
SIASA: Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu akiwa na Mshauri Mkuu wa ACT-Wazalendo, Bernard Membe wakiwasalimia wajumbe wa mkutano mkuu wa ACT-Wazalendo unaofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. #MwanaHALISIDigital
Hivi walio imba wimbo wa Taifa ni wananchi wa Tanzania ๐น๐ฟ au ni Viongozi wa Chadema?
Maana huyu #Polepole simuelewi?
@RealHauleGluck
@halimamdee@HecheJohn
Watanzania Wenzangu nawasihi siasa za sasahv ni maslahi ya viongozi, namuangalia #Polepole apa badala ya Kuongea mambo ya msingi, anaponda upinzani tu huu n ujinga.
Hizi siasa za bongo zinaitaji Uvumilivu sana, Maana Unaweza ukamchapa kiongozi Makofi mbele ya watu.
๐Kuna lijamaa limeita Waandishi wa Habari linapayuka tu.... Mimi naliona ni๐ฎ๐ฎ tu.
@AthumaNinsiima@syongajr@Roma_Mkatoliki
@Jchris66283712 @RealHauleGluck Ela zetu hawatulipi hadi Leo... Wanapiga tu porojo... Mara Ohh tutalipa nyumba kwa nyumba kwani Mauzo yalikuwa kwa namna hyo... Au walibeba tu wakadhan n kura za Maoni zile?