@HildaNewton21 Chezea mahabusu ww yaani Sabaya ameshakonda nguo inamvaa badala ya yy kuivaa nguo. Cheo ni dhamana usitese wenzako ukiwa kiongozi wao kwani bila sisi wananchi huwezi kuwa rais wala mkuu wa wilaya au diwani. Na kukuweka kutuongoza siyo kuwa ww ni mwerevu zaidi yetu. Ccm jifunzeni
@HecheJohn Exactly.....bashite lazima awajibishwe kwa matendo maovu aliyotenda enzi za jiwe. Muda wa kukenuliana meno umekwisha. Halafu hii katiba inayozalisha viongozi dizaini ya jiwe, sabaya na bashite lazime ifumuliwe, na hili si ombi tena.
@BestaMlagila@HecheJohn Wewe naww sijui umekula maharage yawapi huwa unapenda wauwaji kuliko kutetea karia yako na nch yako yani uliwahi ona wapi mwenyeji achukiwe mgeni apendwa tena kwenye aridhi ya wachaga jiongeze ww @BestaMlagila halafu mbona minakuelewa kuwa nimtu making kabisa unakwamaga wapi mkuu
@BestaMlagila@HecheJohn@BestaMlagila usitetee mambo ya ovyo,
Pamoja na kutenda mema, itoshe kusema Sabaya alitumia madaraka yake vibaya sana.
Huyu hakuwa kiongozi alikuwa kibaka
Yaani Sabaya jinga sana.... alifikiri wananchi wanafurahishwa na ushenzi wake aliokua anafanya..... leo anazomewa anajifanya kupunga mkono ili kuua soo kama watoto wa mjini wanavyoita... lazima vijana tujifunze kutenda wema... bado Bashite hata baada ya miaka 100 utawajibika.