@SouthernBuses EFN 649 nimetoka nalo jana Bukoba-Dar dereva James na Hassan,picha imepigwa wakati wanashusha Mbezi.Dada yupo vizuri anajitahidi kwa huduma na namna ya kuongea,shida iliyopo mvua ikinyesha mnalowa ndani huko sijui kwanini mvua ilitukuta Singida.
@DrMaleto @Jambotv_ Shida ni nafasi kaka.Hizo kozi nzuri tayari zishajaa kwa sasa.Nawaonea huruma kwa namna watakavyoteseka this time,sidhani kama itakuwa rahisi kuhamia hivyo vyuo vingine kwa muda uliobaki.
@hozza139@MarekaMalili Askof Niwemugizi alipingana na Rais Magufuli kukataa Lockdown ili kujilinda dhidi ya Covid,hapo ndipo walitibuana.Askofu aliagiza makanisa yote ya jimbo lake hakuna kusali kanisani wote tutasalia nyumbani na ikawa hivo.
@TBoundBuses@Jizzlewantandu@Muhanuzi16 Daah Mghamba alikuwa anatoka saa 12 saa 10 Arusha saa 12 na mbili upo Moshi ghorofani.Akikaa mbele humtoi,imekuaje tena kapotea bana