TWITTER FOR VPN
◾️kumekuwa na sintofahamu baina yetu na kulazimika kutumia VPN ili kuweza kupata access ya twitter
◾️Hii inasababishwa na kitu kinaitwa OUTAGE kwa jina jingine ni DOWNTIME
◾️Twende na uzi uelewe inatokeaje na kwa nini unatumia VPN/TOR/PROXIES
Uzi mfupi
@KanutiAbel @TahiyaOmary @Conversly2016 @FichuaTanzania @ProfHarryEnock Hujaelewa nn acha ukilaza...huyo jamaa katoa picha google huko anakuja kutupanga hapa anatuona cc mafala
NAMNA GANI WHATSAPP WANAPATA FAIDA
◾️Hakuna matangazo yoyote (No Ads)
◾️Hakuna Gharama ya kujiunga ( No subscription fee)
Ni moja kati ya maswali ambayo watu wengi wanajiuliza, whatsapp wanapataje faida ilihali siyo ya kulipia na pia ilinunuliwa kwa gharama kubwa
Uzi mfupi
ENCRYPTION
Najua unasikia sana neno "Encryption" lakini kuna mengi ya kujifunza ili uelewe zaidi kuhusu encryption
◾️Encryption ni nini na aina zake ni zipi ?
◾️Encryption salama na zisizo salama
◾️Matumizi ya Encryption
◾️Faida za kufanya Encryption
Cc: @Kimkayndo
Makundi maarufu duniani ya HACKING:
1. ANONYMOUS- hawa wamekua wakijihusisha zaidi na kupinga vitendo vyenye kugandamiza haki za kibinadamu zaidi na wameshafanya matukio mengi mfano moja wapo ni waliattack visa, paypal na mastercard kwa kukataa kulipa kwa wikileaks.
@kwako_Jesse Tumekusoma teacher tunakubal sana unachofanya hao wanaolalamika achana nao wameingia betting juzi hii vita ya Win & Lose ipo kwahy usikate tamaa tuko pamoja...Tudondoshe mzgo wa leo turuke nao
MASWALI 15 YA INTERVIEW
——————————————
Leo tumalizie uzi wetu, uzi uliopita tulizungumzia namna na vitu vya kujiandaa kabla ya interview! Naamin umejifunza na km hujaona uzi basi utanimba na nitakupa link!
Long story short, tumalizie uzi kwa kupitia angalabu maswali 15 ambayo
Meko bwana! Yaani huyu hawara yako umjengee hoteli pale Kebbys , umpore kwa mumewe ,bado hujatosheka kashindwa kura za maoni lakini umempitisha yaani
Yaani Kabula Shitobela Enock alipata kura 3 lakini kwa sababu ya umalaya wako umempitisha.
Hivi we mzee una bibi lakibi wewe?
Unapokuwa una seek re-election unatakiwa kusema hivi
👉 nimefanikiwa kwenye awamu ya kwanza kufanya hili na hili na hili
👉nimebadilisha haya na haya
👉tena unakuja na statistics kabisa na kutoa mifano ya progress na changes ulizofanya
Kwa kifupi unazungumzia mafanikio yako