I WANT AND DEMAND OF THE WORLD TO ACKNOWLEDGE THE BRAVERY OF THESE UNARMED TANZANIANS, BOOING THEIR GOVERNMENT IN AN INCLOSED ROOM, JUST 8 MONTHS AFTER SAID GOVERNMENT MURDERED OVER 10,000 OF THEM AND THE WORLD, INCLUDING THE WEST, DID NOTHING BUT ISSUE STATEMENTS……
Mashabiki wakatisha hotuba ya Mwana FA alivyoanza kuelezea mipango ya serikali
Katika hali ya kipekee Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwijuma (Mwana FA), alilazimika kukatisha hotuba yake baada ya mashabiki kuanza kupiga kelele pale alipojaribu kuelezea sera na mipango ya serikali katika tukio la muziki.
Mwana FA alikuwa ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 30 ya muziki wa Bongo Fleva , tukio lililofanyika usiku wa Julai 10 na kuamkia Julai 11, 2026, katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Serikali ya CCM inapata haki yake ya Kikatiba huku. Najiuliza waliompigia Rais Samia 98% ni watu gani??.
CCM na washirika wao wana kazi ngumu ya kupulizia pafyumu kinyesi ili kisinuke while kila mmoja anaona ni kinyesi.
CCM Wamechokwa sana.
Mnahangaika sana madhulmat 🤣 no rest for the wicked!
Narudia #WenyeNchiWananchi! Sisi ndo waamuzi wa mwisho si wao!
Sabasaba ni kutoka tu wote - hawako wengi na safari hii hawapigi risasi!
Drug addict Abdul naye kaufyata imebaki genge lake kuteka hapa na pale - tudiwsogope! Mungu kasimama!
Ni kwamba wanategemea HOFU yetu ya yaliyotokea MO29 kutukwamisha! Ila wingi wetu ndo salama yetu!
Mkiona kelele nyingi kama sasa mjue hamna kitu!
#77Tunatoka #FreeTunduLissu #SamiaMustGo #JusticeForMO29