SWALI: Ikiwa una idea, itakayotengeneza ajira na kuitambulisha nchi kimataifa. Na unapaswa kuunda team yenye ushawishi pamoja na malengo yenye kuitendeleza idea yanayofanana. Nani anafaa kua wa kwanza kwenye team yako kwa upande wa ushawishi na kuamika.
NB: piga kura kwa haki.
@StephanoPerfect@Millambo_ Kaka usichoke, ukipata crusher na mwamba uwe unasoma vizuri!
Check number hiyo unairudisha na mafao unawachia serikali inufaike
@FrankFedric Ukiwa na crusher ni backup tosha,wateja watakuja kusaga kwako, ukisaga mwagia kwa muda mrefu mlima unazidi kukua, mambo yakibana unakamatisha na kuuza kazi unaendelea, that's why nilisema ukiingia huku uwe mvumilivu zaidi ya mgonga ulimbo
@StephanoPerfect@Millambo_ Kaka @StephanoPerfect mm nipo Songwe, nmetoka illusion sina muda sana, so nilichokipata nimerudisha kwenye kujenga plant, Bukombe ntatembea siku kuja kujifunza na kuvumbua fursa zaidi.
@SemelaEA@Millambo_ Kununua Gold yenyewe 30M ni nyingi kwa mgonga ulimbo!
Kwa kuchimba, 15M unanunua na kuset crusher, 5M gharama ndogo ndogo na malipo ya serikali, 10M running costs ya crusher na duara mpaka siku unachenjua.
@zed_officially Mifumo ni pamoja na kujua unatakaje, kumiliki duara, kumiliki ofisi(a bit risky),kua winga(nzuri kwa mtafutaji) all in all ni biashara kma biashara zingine tu ni kujua inatakaje
@zed_officially Hawa kabisa ukawadanganye na generator? Generation differ brother!
That's why nikasema sijui ulipo Ila huku kwa kina Gaby wamejanjaruka
@zed_officially Kama ni kumiliki duara utahitaji vingi zaidi,machine ya kusagia(karasha-12M) duara litakalokusaidia kukusanya mlima for elution. Na hapa ndio kwenye hela kuliko kwnye kua na ofis ya kununua gold if well managed.
@zed_officially Ww ndio huyo mlinzi?
Maana hapo umeleta story ya mshkaj wako mlinzi!
Mm the best experience naweza toa ni mtu kuja field hizi kazi hazitaki theory ni more of practice!
Kwa mara ya kwanza Tanzania imezalisha magari ya umeme.
Yametengezwa na kampuni ya Jenga Taifa Pamoja Auto Limited (JTP Auto) kwa kushirikiana na kampuni ya China (OEMs), yakitazamiwa kuleta unafuu mkubwa wa gharama kwa watumiaji.