@Uherry14 We vaa jersey yako ya portugo umkete mhudumu shabiki kindaki ndaki wa messi hakupi huduma mzeeโฆ lakin wakati tupo chuo tulizuiwa kuvaa jersey class et kwa sababu tu kuna watu utawakwaza โ kama sio usenge ni niniโ ( in nape voice
Amka saa nane za usiku kwa siku saba mfululizo, kisha usali sala hii kwa imani. Mwombe Mungu avunje kila kikwazo, afungue milango iliyofungwa, aondoe kila kinachozuia maendeleo yako, na akupe kibali mbele zake na mbele za watu katika kila jambo unalolifanya:
Ee Mungu Mwenyezi, ninakuja mbele zako kwa jina la Yesu Kristo. Naomba uvunje kila kifungo, uondoe kila kikwazo, na ufungue kila mlango uliofungwa katika maisha yangu. Niongoze katika njia zako, unipe hekima, nguvu, na neema ya kushinda kila changamoto. Nibariki kazi za mikono yangu, unipe kibali katika kazi, biashara, masomo na mahali popote nitakapokwenda. Uniongoze kwenye mapenzi yako, na mapenzi yako yatimizwe katika maisha yangu. Naamini hakuna lisilowezekana kwako. Amina.
Isaya 45:2
"Nami nitakutangulia, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja milango ya shaba, na kuzikata-kata mapingo ya chuma."
@Mikumifinest Kuna jamaa jana ali andika โ kama mwanaume hakikisha majina ya watoto wako wa kiume unawapa weweโ ndio nimemuelewa sahii ๐๐๐ซต