@Baradhuli2 Mtalipa tu hata mkisifiana namna gani, kikubwa tunaamini Mungu yupo na atafanya kisasi chake kwa wakati wake unaofaa, kwasasa kuleni maisha wakuu gongeni cheers kwa raha zenu
@godbless_lema Msajili ni ndezi kumbe, yani anatafuta makosa ambayo kimsingi hayapo, yani anavyojiona hapo yeye ni mungu mtu asiyestahili hata kunyooshewa kidole, kwenda zako
Kuna Chama kimoja tu Tanzania chenye any moral ground ya kuwasemea Watanzania kwa sasa. Kuna chama kimoja tu Tanzania chenye any legitimacy ya kuwasemea Watanzania. Kuna chama kimoja tu Tanzania chenye uhalali wa kuwasemea Watanzania, chama hiko ni CHADEMA!!!!!!!!!!!
Vyama vingine vyote vilipoteza uhalali wa kuwasemea Watanzania either kwa kuwasaliti Watanzania kwa kushiriki uchaguzi wa 2025 au kufanya mauaji ya Oktoba 29.
Chadema ndio Chama pekee kilichoweza kuendana na matakwa ya Watanzania kwenye uchaguzi wa 2025, ndio chama pekee kilichosikiliza wananchi wanataka nini na wakaonyesha na kuongoza njia kwa kuja na NO REFORMS NO ELECTIONS na kusimama nayo mwanzo mwisho!!!!!!
It’s almost like Chadema ndio chama pekee cha siasa kinachoelewa Watanzania wanataka nini na wako tayari kujitoa kuhanga maisha yao ili wawapatie Watanzania wanachokidai.
Chadema ndio chama pekee kilicho earn kuaminiwa na Watanzania………