@Exquisite_255 Well said, umenena vizuri na umeelezea vizuri...... ila umekaa kishabik mnoo.
Elezea fact, tumia sana neno alafu Acha watu wadadafue wenyewe.
@online__tz@Exquisite_255 Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu, bali Wokovu ni mpango wa Mungu kumtafuta mwanadamu. Na ndio maana tunasema tunaokoka kwa neema.
@online__tz@Exquisite_255 Kwann unasema walokole ndio hawafai? Unaufaham vizuri ulokole?
Usichanganye makanisa ya kiroho na ministry, ni vitu viwili tofauti.....