@Exquisite_255 https://t.co/QCyvuuag49
Mnacopy na kupaste bila kufatilia umecopy nini, hiyo si ni series. Kama unataka kuwaponda nasa fika ofisi zao na kucheki kazi zao kwanza, nb: hata mawasiliano ya simu zamani yalikua kama uchawi
@drmlalukoMD Na kwa maneno yake profesa mwenyewe anasema hamkatazi mtu kula nini, kikubwa ule katika mfumo sahihi, maana huwezi fanya yote, ila watanzania sisi wengi kichwani kuna shida
@Dom_equinox@jaliluzaid Mmeupiga mwingi sana, sema PLO ilimtoa sadaka Arafat kuna investigation mbili zipo pale youtube zimefanywa na aljazeera kuhusu kifo cha Arafat.