@HildaNewton21@freemanmbowetz Dadangu Hilda mwaka jana nilikutana na ww nikakwambia Unahoja, unamantiki lakini unabeba vijamaneno vya kuambiwa jitaidi uwe makini sana na utaratibu wako binafsi utanishukuru baadae..
Nitoe wito wangu wa kuandaliwa matamasha kama haya ili kutangaza Tamaduni, Mila na Desturi zetu. Nawasihi Watemi, Machifu na Viongozi wa Kimila kote nchini kuendelea kusimamia maadili mema kwenye jamii yetu - @SuluhuSamia
@kigogo2014 Ukianza kuitafakari katiba anza kutafakari mazuri yake na kisha mapungufu, katiba hiyo ndio inakuruhusu ww kuongea na inawapa watu wote kushiriki Michakato yote ya kitaifa Ni vyema usiishie kufananisha katiba hii na nyingine bali fananisha manufaa yatokanayo na katiba husika..
โKuna mambo yanashangaza kulikuwa na sheria wote tusajili laini tuweke vidole ili mtu akifanya utapeli ajulikane lakini utapeli wa mtandao unaendelea na watu hawafikishwi mahakamani, sasa ule usajili ulikuwa kiini macho au nini? Maana wote tumesajili na majina yapo.โ @SuluhuSamia
โHii sio kwa Dar es salaam tu bali Nchi nzima, miongoni mwa vigezo tutakavyovitumia kuteua au kutengua Makamanda wa Polisi wa Mikoa ni kasi ya kudhibiti vitendo vya uhalifu, kwahiyo mkajitahidi kudhibiti vitendo vya ujambaziโ
@SuluhuSamia#KAZI INAENDELEA
Uzinduzi wa mbio za mwenge mwaka 2021 utafanyika Mei 17 Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwenge huo hupitishwa katika maeneo mbalimbali nchini ukiwa ujumbe maalum, na mbio hizo huhitimishwa Oktoba 14, siku ya kumbukizi ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza Bungeni jijini Dodoma kuhusu maagizo ambayo ameyatoa kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, juu ya sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ambayo ilipangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es salaam, Mei 8, 2021.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt.Mpango, akipata maelezo kutoka kwa Daktari wa mambo ya Neuron Surgery Dr. Humba, kuhusu ya Matibabu ya Bibi Zaveria Chuga Malamba (62) Mkazi wa Dodoma aliyelazwa kwa Matibabu katika Hospitali ya Mkapa Dodoma alipofika katika Hospitali hiyo Mei 04,2021
Makamu wa Rais Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akimpa pole na kumfariji Bibi Leah Mahibwa (50) Mkazi wa Manyoni aliyelazwa kwa Matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma, wakati Makamu wa Rais alipofika katika Hospitali hiyo leo Mei 04,2021.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na kuwapa pole Wananchi mbalimbali waliofika katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma kwa ajili ya kupatiwa Matibabu wakati Makamu wa Rais alipofika katika Hospitali hiyo leo Mei 04,2021.