#HABARI Walimu wanaojitolea wakiwemo wenye zaidi ya miaka sita kwenye shule mbalimbali zilizopo wilayani Bariadi mkoani Simiyu, wameiomba serikali kuwapa kipaumbele cha ajira pindi zinapotangazwa hatua itakayowawezesha kuingia kwenye mfumo rasmi na kupata uhakika wa kipato chao mwisho wa mwezi ambacho kitakidhi mahitaji yao tofauti na sasa ambapo huishi kwa posho pekee.
Wameyasema hao wakati wa utoaji wa tuzo na zawadi kwa walimu na shule zilizofanya vizuri kwenye halmashauri ya mji wa Bariadi ambapo idadi kubwa ya walimu wanaojitolea masomo yao yameongoza kwenye matokeo ya kidato cha nne na sita.
"Watu wanaojitolea wapewe kipaumbele, kusema ukweli inachosha na inahuzunisha kila unavyo-apply unakosa wakati unafanya kazi kwa ajili ya serikali, nilikuwa naiomba serikali itengeneze njia mbadala ambayo itawabind watu wanaojitolea ili waweze kupewa nafasi wafanye kazi nzuri kama ambavyo wanafanya wakiwa wanajitolea," amesema mmoja wa walimu wanaojitolea
#EastAfricaTV
Mhe. @ridhiwankikwete "Ujenzi wa uwanja wa Mpira wa Miguu na Riadha wenye uwezo wa kuingiza watazamaji Elfu Kumi unaojengwa Msoga, Chalinze unaendelea. Kazi ya kuweka sawa jamvi inaendelea." _ _ _Nukuu.
#Kikwete.
@TBConlineTZ Katika.mapendekezo pia ni vyemaagereza ikawa na mfumo wa kujiiendesha na kuzalisha mali...
Mager haiwezi kupata ruzuku tu serikalin bali itoe gawio.serikalini kwa kuwa ina rasilimali watu.
Yaani mataifa mengine mfungwa ni kibarua na lazima ajute kufungwa huku kwetu mfungwa boss
Odo @ummymwalimu Tunamshukuru umewasikia wataalamu wa Maabara.
Ombi..
Watazame pia wataalamu wa Saikolojia na afya ya akili wapo wachache na ajira zao kwenye mifumo ya serikali hazionekani..
Na siku hizi wagonjwa wa akili wanaongezeka na hawatibiki kivyepesi na kwa haraka.
Wimbo Umejaa mafumbo mengi ambayo ni wachache sana wanaweza kuyaelewa kwenye Wimbo huu Mpya wa Roma Mkatoliki. Je Umefanikiwa Kuelewa โMimi ni Naniโ ni Nani haswa?
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara ametoka nje ya ukumbi wa Bunge huku akivua koti na tai yake baada ya kuonesha kutoridhidhishwa na majibu ya Serikali Bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu Jijini Dodoma leo May 9, 2023.
Mbunge Waitara alitaka kujua lini Wananchi wanaodai fidia katika maeneo ya Mgodi wa Barrick North Mara Komarera, Nyamichele na Murwambe watalipwa na majibu ya Serikali yalisema โMgodi wa Barrick North Mara ulionesha nia ya kutaka kuchukua baadhi ya maeneo ya Vijiji vya Komarera, Nyamichele na Murwambie ambavyo ni sehemu ya Vijiji vinavyozunguka mgodi huoโ
โBaada ya Wananchi wa Vijiji hivyo kupata taarifa ya maeneo yao kuhitajiwa na mgodi wa Barrick North Mara, walianza kuongeza majengo harakaharaka (maarufu kama Tegesha), hali hiyo ilipelekea mgodi huo kuachana na maeneo hayo kwani hayaathiri uendeshaji wa shughuli zao za kila sikuโ
Baada ya majibu hayo Mbunge Waitara hakuridhishwa hivyo badala ya kuuliza swali la nyongeza kama ulivyo utaratibu alisimama na kuanza kulalamika kutoridhishwa na majibu na kutoka nje ya Bunge.
#MillardAyoUPDATES
๐London, Uingereza
๐น๐ฟ๐ฌ๐ง
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania walioshiriki katika gwaride maalum la kutawazwa kwa Mfalme Charles III.
Heko Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Dkt. @SuluhuSamia! Heko Tanzania๐น๐ฟ๐น๐ฟ!
@shokojr_ Kuna namna kodi ihesabiwe kwa bidhaa na sio kwa muuzaji yaani kama bidhaa ikiuzwa kodi ile ikatwe hivyo itakaywa mara moja tu na sio vinginevyo
@MsigwaGerson Mhe. Distance ya masaa matano ni kubwa sana.. mifumo iimarishwe na wasiamizi wa uwanja watumie hili kama funzo...hiyo ni International sio wa Njombe ohooo
AKILI TIMAMU -AFYA BORA:
Disorder (3/540)
Unyogovu wa utotoni na ugonjwa wa bipolar. (Childhood Depression and Bipolar Disorders (CD and BD)
Imetayarishwa na :Julius Jaji
Clinical psychologist
Je Umeshawahi kukiuliza Kwanini watoto wadogo wanajinyonga... ๐ฌ๐
@SuphianJuma Katika hili unalikosea taifa kwanza dola ya marekan inashuka na tathimin yake ndani ya miaka 10-30 Itakuwa na hali mbaya. Kama bado unaamin tunawategemea marekani au taifa fulan kuishi na kulipa mishahara unapaswa kutandikwa viboko kwa kuidharirisha taifa...