HOJA YA MSINGI
Wakati wa kampeni wa Tanzania tuliahidiwa vitu vingi vikiwemo
1.miundo mbinu
2.vifa vya ujenzi kushuka bei
3.milioni 50 kila kijiji
sasahivi hatujaona vikitekerezwa mfano vifa vya ujenzi vinazidi kupanda bei hasa mabati
ft 10 Tsh.15,000
ft 8 13,500
Nidhahiri kuwa baadhi ya wanaume wanaishi na wake zao wakiwa na upungufu wa tendo landoa tatizo hilo linatesa ndoa nyingi mpaka inafikia mumoja wao anaamua kutoka nje ya ndoa ili kupata mtoto maana anaona ni aibu kwa jamii inayo mzunguka kuishi bila mtoto https://t.co/nzf6H8uq1t
TANGAZO TANGAZO
Tunauza mazao Aina
Mahindi mapichi na makavu kwa bei murua tupo kata ya busunzu wilaya ya kibondo mkoa kigoma
simu;0768456952
AU
https://t.co/s0djyK7Mbz