Kuna siku nitashare hapa tweets zilzonigusa na kubadili trading approach yangu. Ila thank you @cr_xniper kwa chochote unachoshare kuhusu forex kwa sisi newbie tunapona.. Mwenyezi Mungu akubariki sana.
Kuna wiki hiyo mwezi wa nane nilichezea kichapo kitakatifu๐. Ikabid nizame humu X nikaanza kupitia tweets zote za @cr_xniper nilikaa karbia masaa 3 napitia tu maana naamini njia rahisi ya kumjua mtu ni aidha umsikilize au usome alichoandika. Inaitwa Learning by observation
Ule usku ulikuwa kama turning point yangu. I learned a lot, nikajua na makosa yangu and learned his way kwa chochote alichoshare nasisi hapa X. I started applying it,,, Kuna sehemu naitaka sijafika bado ila at least naiona Nuru kubwa..