@AlinurMohamed_ Haba na haba hujaza kibaba, kuna vituo vingi sana vya mafuta. Watajuaje kwamba hajaweka kituo kingine kabla? Mtaweza vipi kuthibiti hilo?
@PresenterNoah Mahitaji na upatikanaji vinapanga bei
Mahitaji makubwa, bei inakuwa juu na mahitaji yakiwa chini bei inapungua, ndio ilivyo kwa IST dhidi Crown
@TanzaniaOneJezi Col. Mamadou Ndala, nae anakumbukwa sana katika oparesheni hiyo dhidi ya M23. Jan 2, 2014 msafara wake ulishambuliwa na aliuwawa. Soma zaid https://t.co/z5hBeQr5KN
@HLukinga@BongeLaAfya Shida ni uelewa na ulimbukeni na watu wameshaona kawaida jitu linaandika linachojisikia bila kutafakari kutakua na athari zipi. Mijitu inajibu upuuzi, kama hujui kitu bora ukakaa kimya au fanya uchunguzi na upate taarifa sahihi kuliko kukurupuka unajibu ujinga.