Washington Spirit confirm Clara Luvanga has joined from Al-Nassr on a four-year contract.
Understand the fee is a world-record womenβs transfer that is close to $2m.πΉπΏ
@MichaelMwebe Ni setup ya kocha tu katika mechi hizi chache inafanya wanakua hivyo. Mligo anakua LCB halafu Chilambo anakua kiungo.
Kibabage na Kapombe wakirudi atarudi kwenye kushambulia na full backs.
πΉπΏ Tanzaniaβs Premier League is now using FVS (Football Video Support).
Tanzania becomes the first African nation to introduce FVS in its domestic league. π¨
The technology has already helped match officials improve and make better decisions on certain calls so far.
A big step forward for Tanzanian football. π
#AfricanFootball
#Tanzania
@BracuszCadabra Wengi hata copy ya katiba hawana. Ndio mana kuna mahojiano flani Magori alishawahi kuuliza hewani kwani katiba inasemaje kwenye hicho kitu hadi mmeconclude hivyo, wote walibaki wanaangaliana.
@salimosaid Ila kwa Doumbia ni zaidi ya hayo. Mchezaji kila touch inabadilika duelπ
Ingekua ni Simba ya 2020 hapo sawa sababu options zipo Nyingi ila yeye kua ndio main striker ni uongo huyo.
Tegisi alikua ni option nzuri kuliko doumbia.
@RevocatusMagum1 Sisi tu tuliamua kuhangaika ila Tegisi alikua ni chaguo sahihi kama ya kwenda kwa doumbia sababu anaingia kwenye kundi la foreign players.
@RobinsonShoo4@ThomzJoseph Nahisi hiyo issue haujaielewa vizuri huyo mchezaji kafanya hadi mazoezi jana na timu Zanzibar. Kwahiyo kurecord video sio issue sababu ni mchezaji alisharuhusiwa kuja kwetu.
@RobinsonShoo4@ThomzJoseph Na mchezaji hapo anaweza kukataa timu ya kwenda ila hawezi force timu ya kwenda, so wanaweza kumrecall tena morocco.
Mchezaji inaonekana anataka kucheza ndio mana side yake plus agent wanaweza kubali kwenda popote kwa TZ hata azam ndio angepeleka hela wydad.
@RobinsonShoo4@ThomzJoseph Deal ilikuwepo ndio mana mchezaji alikua released na kuanza mazoezi kwetu. Sema hapo imekua kama wydad wamerecall mchezaji wao na kumpeleka kwingine.
Sababu hajatoroka Morocco huyo ila karuhusiwa. Timu hapo ndio inanguvu zaidi kwa Mchezaji wa mkopo.
@RobinsonShoo4@ThomzJoseph Sema mchezaji akishakua ni wa mkopo lawama kidogo zinapungua. Wydad pia wameleta uswahili sababu hauwezi release mchezaji kwa team A halafu ukakubaliana tena mkopo na team B ukiwa ushamrelease tayari mchezaji.
Pia viongozi wetu waache mambo ya kijinga.
@scout_viral Hiyo U20 hua inawatokea sana kwenye timu baadhi ya wachezaji. Valentino alikua anapata game time kipindi cha fadlu ila baada ya kwenda kwenye hiyo camp na kurudi huku ligi inaendelea hakupata tena minutes.
Hao msimu na mligo inaweza kua hivyo pia maana wana ratiba tofauti sana.
@BracuszCadabra Hata tukisajili mchezaji mzuri kiasi gani kama kocha hatofocus na wachezaji kuachia mali wakifika kwenye final third basi tutaendelea kuongea hivi hivi kila siku.
Hao wa leo hawakua vizuri sana defensive maana walikua wanaacha space kibao ila hatutoi mali kwa wakati.
β€οΈπ€ πππππ πππππ πππ! π¦
90 YEARS OF SIMBA SC. ππΉπΏ
22Γ Premier League π
3Γ Nyerere Cup π
4Γ FAT Cup π
2Γ Dar es Salaam League π
5Γ Tusker Cup π
10Γ Community Shield π
3Γ Mapinduzi Cup π
6Γ CECAFA Club Championship π
CAF Cup π₯
CAF Confederation Cup π₯
And who can forget the historic π-π win over Yanga in 1977 which is still the biggest scoreline in the Kariakoo Derby.
The Tanzanian giants. β¨
The most successful Tanzanian club in international competitions.
Happy 90th anniversary, Simba SC.
Simba fans, enjoy your special day! π
Dar es Salaam is RED & WHITE, as always.
#SimbaDay2026 #Simba90 #NguvuMoja #AfricanFootball
@mjehepm@JayUmeme@MichaelMwebe Pia hapo kwenye definition ya kuweka mzigo kuna Shida.
Sababu mtu anaeambiwa aweke mzigo halafu kila msimu wanaokota kwa ajili ya Usajili na hawataki ihesabiwe kama deni ili baadae inadilike kua mzigo.