Young Entrepreneur of Africa || Arts design || Sketch,wooden frame, Printable ornaments for home & Office | Member @ElimikaWikiendi || Online 📞+255715684145
Book a direct flight from Zanzibar to Mikumi or Selous (Nyerere National Park) and enjoy your wild day trip today with us.
☎️ +255 777 232 747
📩[email protected]
"Usikazane sana kuwashawishi na kuwabadilisha wale wa jana ambao wameshaweka hisia na hitimisho juu yako, kiasi cha kupoteza fursa ya watu wapya kukufahamu katika sura mpya. Songa mbele. Maisha ni kama sura za vitabu, ili usome sura mpya, hauna budi kuifunga ile sura iliyopita."
Ukweli mchungu niliowahi kusoma mahali, "Your life don't get better by waiting things to be better. It gets better when you become better and do things better".
Increase your aura:
1. Keep your life private.
2. Be calm, not emotional.
3. Read when others scroll.
4. Be occupied, not available.
5. Listen more than you speak.
6. Don’t announce plans, show results.
Watu wengi huanza biashara ndogo na kukata tamaa haraka kwa sababu faida ni ndogo.
Lkn ukweli ni kuwa, mwanzoni wakati wa kujenga tabia, wateja, uaminifu na mzunguko wa pesa.
Faida kubwa huja baada ya kujifunza, kuvumilia na kujenga misingi.