@samatimemagari Coolant ubora wake na sifa take upo kwenye namba yake yani coolant namba kuanzia G11 mpaka latest ya sasa G13. Ndio zinazotumika kwa sasa kwenye magari yote. Rangi akuna mausiano ya ubora bali utumika kama alama ya utambuzi tu kulingana na mtengenezaji magari
@maji_mowi@MilanziGaudence Ongera Mh Balozi @MilanziGaudence kwa jitiada zako za kuhunganisha mashilikiano katika nyanja mbali mbali kati ya SA na TZ @maji_mowi tumieni hio fulsa kuongea nao wawekeze Tanzania.
@MilanziGaudence Mheshimiwa balozi mimi nimewai pata fursa ya kufanya training course pale Volkswagen plant Uitenhage PE wenzetu wapo vizuri wamejipanga. Nikuombe muheshimiwa balozi uwachukue walimu wa pale NIT,VETA,DIT nao wapate kutembelea na kujifunza kwenye hivyo viwanda mambo mbalimbali.