Arsenal are reportedly expected to hold crunch talks with #ManCity today (16/06) in a bid to tempt Gabriel Jesus into joining them at the Emirates after keeping tabs on the striker ever since Pierre-Emerick Aubameyang's departure in January.
[@caughtoffside via @Daily_Express]
Itoshe kusema Abuubakar Salumu " Sure Boy " ni Kiungo mzawa hatari zaidi kwenye kipindi cha miaka 10 iliopita , Akuwah kukaa Bench Azam kwa Muda mrefu , Ameenda Yanga sc ameingia kwenye XI na kila mtu anamtaja kama mmoja wa Kiungo bora kuwai kucheza nae .
Vipi hapo?
Allahu'Akbar🙏🏿🙏🏿 We're the @NbcPremier champiooooooons 🏆 Give thanks to the @yangasc1935 family and fans 💪🏿
@TheReturnOfTheChamp👍🏿
@TimuYaWananchi🔰
@YangaTamu✌🏾
@AllahFirst🙏🏿🤲🏾
Asante Sana Wananchi 💚💛
King of Daresalama, Super Bugati Trophies.
Magician De la Boss
Le Tripple King.
Ndioo, Haji ni mzuri akiwa kwako tu, akiwa kwa mwingine anachoma kuliko Pasi.
Wanahabari tukutane kwenye Press leo Saa Sita Mchana pale Makao Makuu ya Brand ya Taifa GSM.
Mchezaji anayenivutia uwanjani, siku zote nilitamani kucheza naye, Babu Kaju @sureboytz8 fundi wa mpira. Ndoto ya kijana mdogo kutoka Zanzibar imetimia na sasa tunashinda makombe pamoja. You're the best Babu Kaju🤹��️🪄 - Goli la Tatu🤗 Clever. #Feitoto @yangasc1935