Updates 👇
➡️ Aziz KI 🇧🇫 hajaondoka free Young Africans 🇹🇿, biashara ya mkataba wake wa mwaka mmoja uliosalia imefanyika.
➡️ Wydad 🇲🇦 wametumia kiasi cha $1m (Tshs Bilioni 2+) kwaajili ya kumpata.
✅ Atasaini mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza mwingine.