#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @MagufuliJP ameahidi kufanya upanuzi wa barabara na kujenga vibanda vya Wajasiriamali katika eneo la Dumila, Wilaya ya Mvomelo Mkoani Morogoro. Pia alipewa mhindi na kuula palepele wakati akiwa safarini kutoka Dar kuelekea Dodoma.
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa wachezaji wetu nahodha John Bocco na Shiza Kichuya.
ππππ Wanasimba tunawaombea kila jema kwenye maisha yenu. #NguvuMoja
Clatous Chama amekabidhi msaada wa Tsh. 1 milioni katika kituo cha watoto yatima cha Maunga kilichopo Kinondoni, Dar ikiwa ni sehemu ya utekeleza wa ahadi yake aliyoitoa jana wakati anakabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Simba iliyotolewa na mdhamini mkuu SportPesa. #NguvuMoja
NAIBARIKI JUMANNE YANGU.
YESU nakupenda, WEWE ni mzuri Bwana, Asante kwa PENDO lako, Asante kwa KUNIOKOA.
BABA naliinua JINA lako, WEWE hufananishwi, hufananishwi na Chochote. UWEZA, NGUVU, MAMLAKA na UTUKUFU ni vyako, WEWE ni MWANZO na MWISHO.
Jumanne yako IMEBARIKIWA.