@YerickoNyerereT Wewe ni kilaza, Moshi utaitwa kishoia,ni sheria ipi inamkataza wakili kuwa mwanaharakati,kasome katiba we mtu mfupi kama choo cha jioni,
@AkimzEli1 Kama kuna kosa kubwa linalofanywa na mashabiki wa chadema,ni hili la kumtukana na kumchafua Mbowe,jitafakarini,hata kama akili zenu bado ni za kitoto bado mnaweza mkampa heshima ya ubaba.
@YerickoNyerereT@HecheJohn Nimeamini mtu mfupi na akili yake ni fupi,yaani wewe kuandika kijitabu na kupata wafuasi wachache wa kukisoma tayari unajiona mjanja,endelea kuutafuta mlango wa kutoka cdm kijinga,wenzio walipokuwa wanaondoka walipiga kelele kidogo kisha wakaondoka wewe sijui unasubiri nini.
@RollandCruz5@MalisaGJ_ Kwa hiyo hao viongozi wa serikali wanaofia nje ya nchi kila mara wakiwa kwenye matibabu huwa hawaoni hospital za hapa nchini,nchi ina watu vishoia hii.
@VitusNkuna Kasome katiba ya nchi we kishoia,raia yoyote mtanzania aliyefikisha miaka 18 anaruhusiwa kuchagua na kuchaguliwa kwenye nafasi yoyote ya uongozi,hakuna mahali katiba inazungumzia tapeli.
@IAMartin_ Viongozi wa chadema wa sasa hasa Lisu na Lema,walisema Mbowe kapoteza mvuto kiasi kwamba hata akiitisha maandamano anajikuta yupo yeye mkewe na mtoto wake,ilikuwa ni kejeli mbaya sana kwa Mbowe na familia yake,leo hii Mwenyezi Mungu anawadhihirishia kuwa tatizo siyo Mbowe.
@JoelyMsuya@MariaSTsehai@LembrusMchome@frediejustine Chuki zinazoendelea ndani ya cdm,tatizo nililoliona siyo kundi la Lisu kushinda,bali ni Mwenyekiti aliyeshindwa yaani Mbowe kuvunjiwa heshima kwa kutukanwa ni mla rushwa,mlevi wa konyagi na serengeti,mara Mugabe wa tanzania nk.tena maneno hayo yakitolewa na watu aliowajenga yeye.
@Jambotv_@SuluhuSamia Mimi sioni cha kujivunia,kwa muda mh,rais aliokaa madarakani tangu kufariki kwa Magufuli watueleze hapo chamwino kakaa siku ngapi,muda mwingi amekuwa akikaa kizimkazi na kidogo magogoni,chamwino anaweza kumaliza hata miezi mitatu hajafika na akifika hakai zaidi ya siku mbili.