@DjSinyora Tatizo pale ni yule eng wao. Kiongozi gani anataka atukuzwe. Badala awe humble na mfano yeye anapenda kujikweza. Na Bado mpaka waseme maana derby atakufa goli nyingi
@singidabssc@Tanfootball Kuna umuhimu sana kuwa na makachero wafanye kazi ya kunusa mambo ya ajabu kwa maslai makubwa ya vipaji na mpira Wa Taifa letu . La Si hivyo tutakua na league ya vilabu viliwi tu miaka yote