@kemgongo_media Mhh Mkuu wa Wilaya anaonekana hana ufahamu wa wajibu wa Wakili katika kugonga Mhuri. Mwenye jukumu la kujiridhisha ni mnunuzi wakili anashuhudia sahihi na masharti ya Mkataba.
@Honey_0_Badger@EsirEid Huko ni kufikiri kwa ovyo hao walioitilafiana ni watu. Siyo kazi zao. Visasi ni vibaya unafikiri ikitokea daktari mjinga akafanya hivyo na Polisi wajinga wachukue silaha waanze kuua madaktari tutafika.
#HABARI Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani nchini Kenya, Ali Nuno, ameonya kuwa wanasiasa watakaobainika kufadhili wahuni ili kusababisha vurugu watanyang'anywa walinzi wanaotolewa na serikali.
Amesema Jeshi la Polisi halitawalinda viongozi wanaochochea uvunjifu wa amani.
Nuno amewataka wanasiasa kufanya kampeni kwa amani na kuacha kutumia makundi ya wahuni kwa maslahi ya kisiasa. Alisisitiza kuwa yeyote atakayebainika kuhusika atachukuliwa hatua, ikiwemo kuondolewa ulinzi wa polisi.
Onyo hilo linakuja wakati kukiwa na wasiwasi kuhusu makundi yanayodaiwa kuvuruga mikutano ya kisiasa, uchaguzi mdogo wa Ol Kalou na maandamano ya Gen Z, ambapo yamehusishwa na mashambulizi, uharibifu wa mali na uporaji.
Kauli hiyo pia imeungwa mkono na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Kipchumba Murkomen, ambaye ametangaza operesheni ya kitaifa dhidi ya wahuni wa kisiasa na magenge ya uhalifu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
@sokobenza@VungaEl74 China Advanced Tech gani aliyoanzisha kama si kuiga kila kitu. Hivi ujiulizi kwanini mchina licha kutengeneza simu lazima atumie android
@EngMapundajr@maipambomteta Bora sasa au wewe mtoto wa 2000. Tatizo ni miundo mbinu watu wanaongezeka magari mengi barabara ile ile. Wakiweka njia nne angalau dodoma hadi Dar ajali zitapungua sana maeneo hayo.
@lusomi24@kikomasta Ni propaganda uchwara. Wenyewe wanaodai wanasema has been damaged ila hawana uhakika. Ikumbukwe hizo ndege uwa zinaabguka pia kwa matatizo ya kiufundi
@fahad_znz@ayubu_madenge Wazungu na Waarabu walishirikiana. Mwaraabu alihusikq kutukamata kikatili na kutupeleka huko ulaya na amerika, kipindi hicho hawana utajiri wa mafuta sisi ndo tulikuwa utajiri wao. Huyo Sultan unamsema Wazanzibar walimpindua wakaona bora Muungano unajua sababu n nn
@fahad_znz@ayubu_madenge Apo umetupiga. Kimsingi ni wazi kuwa biashara ya utumwa ilikomeshwa Marekani baada ya watu weusi kuhusika katika kupigania uhuru wa Marekani na marekani kuwa Taifa kubwa lenye ushawishi wa haki za Binadamu. Hivyo wazungu na Waarabu walishirikiana.