@kasesco_tz Ndizi,nyama,magimbi,mihogo,mboga za majani,tambi,pilau mwanzo mpaka linapo iva, pia unaweza pasha yaani nusu mstari wali mstari nusu mwingine mboga chamsingi mboga isizidi urefu wali,ugali,kuchemsha Kila kitu
@francismtey Adamu hakujua kama yupo uchi mpaka alipokula tunda la mti ambao Mungu alimuonya asiule pili Adam alifukuzwa bustanini ilikua ni adhabu ya kutomtii Mungu Kwa kua alikula tunda la mti ambao haukuruhusiwa same iliaply Kwa shetani alipokosa utii alifukuzwa mbinguni
@francismtey Kila sekunde,dakika, saa na siku Mungu anakupa muda wa kijitafakari endapo ukimkosea unapata muda wa kuomba msamaha lakini ukifa unakua katika ulimwengu wa kiroho ambao Haina muda kwaio kama ulikua mdhambi basi husamehewi kama shetani asivosamehewa
@francismtey Katika ulimwengu wa kiroho hakuna msamaha kosa hata Moja halisamehewi na unaadhibiwa Mungu Kwa upendo wake wa binadamu alifanya Kila namna apate excuse ya kumsamehe maana hapendi tupotee au tuteketee akaumba muda Yani..
@SouthernBuses Wakati naenda Tunduma kwenye machaka ya katavi tulipitwa na irizar nikajiuliza huu ujasiri wa kutupa irizar kwenye road ya chaka ameutoa wapi ila Kudos kwa manager wa hii chuma
@EMMANUELLY72117@JayUmeme@BusesDaily Kama hio ruti Ina handle hii mza to tunduma inaweza D14 ni gari ya kazi chafu kwenye hizi ruti ndefu pia zenye barabara korofi