Ni mwaka mmoja umepita Humphrey Polepole ametuachia ujumbe mzito wa mwisho tusisahau kuwa wenye mamlaka ni sisi wananchi na TUNA WAJIBU wa kupinga dhulma, ufisadi na kulinda nchi
Mwezi huu ninaanza mazungumzo ya kitaifa tujadili masuala muhimu kuikomboa nchi
#OngeaNaShangazi itakuwa live kupitia @MwanzoTvPlus na @MwanzoTV na kupitia social media akaunti zangu
Karibuni!
Niliwapa update za Nchimbi na hatma yake iko hatihati! Baada ya kuandika haya alikuja kuletewa kwa siri huduma ya kiroho ila hawamruhusu aende kokote! Kwa kifupi ni MFUNGWA!
Shida yote ni Abdul na huyo teja siku akiamka na mashetani yake akasema wamwue ndo kwa heri!
Kama hawajamshikilia tumwone anadunda mtaani au hata hafla au mkusanyiko! Hata kanisani haendi misa!?
#FreeNchimbi #FreeEmmanuelNchimbi
Kwa hiyo viongozi wa mataifa zaidi ya 20 ya Africa walitoka nje kususia speech ya Israel kama “protest dhidi ya mauwaji Gaza” lakini viongozi hao hao wakabaki kusikiliza speech ya Tanzania ambayo juzi tu imeuwa maelfu ya raia mchana kweupe?🤔🤔
Hawa waliouawa Tanzania ni ng’ombe??
Ndio maana Netanyahu anawaita “MORAL COWARDS,” sidhani kama kuna description nyingine inayowafaa.
Ni wanafki na waigizaji wasiokuwa na values zozote zaidi ya unafki. Mnaonekana washereheshaji tu kwenye shughuli za kidunia.
MORAL COWARDS.
VIDEO:
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameendelea 'kuulizia' kuhusu kile kinachoonekana kuwa 'ukimya' wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
Akizungumza na viongozi, makada na wafuasi wa CHADEMA kwenye Ukumbi Na. 01 wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Septemba 25.2026 wakati akijiandaa kurejea gerezani baada ya kesi yake ya uhaini inayomkabili kuhairishwa leo, Lissu amewaelekeza Wana-CHADEMA kuwasiliana na viongozi wa Dini wakiwemo Maaskofu kupaza sauti na kuhoji 'YUKO WAPI DKT. NCHIMBI?' akidai kwamba ukimya wake si wa kawaida na sio jambo la kukalia kimya.
Nafikiri, au labda naota, kwamba hata MAJAJI wanaweza kuwa wanafurahia kusikiliza hoja na mawasilisho ya M/kiti Lissu. Natamani kesi hii ingekuwa ikirushwa moja kwa moja, kwa sababu kile kinachoendelea hapa ni somo kubwa sana kuhusu sheria, ujenzi wa hoja, ujasiri, na namna ya kusimamia kile unachokiamini.
Kuwepo hapa mwenyewe ni somo kubwa. Kuna mambo ambayo huwezi kuyaelewa kikamilifu kwa kuyasikia au kuyasoma tu, wakati mwingine ni lazima uwepo, uyaone na uyasikie mwenyewe.
Kwa Mahakama, wito wangu ni mmoja tu, HAKI ITENDEKE.
Kila hoja isikilizwe kwa umakini na kwa haki, kila ushahidi upimwe kwa usawa na kwa mujibu wa sheria, na hatimaye, uamuzi utolewe kwa kuzingatia sheria, ushahidi na misingi ya haki.
Nchimbi anatafutwa na nchi nzima kasoro watu wa CCM. Let that sink in……….
Watu wa CCM sio binadamu kama sisi, kuna jinsi mioyo yao imekuwa kama ya wanyama…….
WHERE IS EMMANUEL NCHIMBI?????????
Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema uwezo wa Tundu Lissu katika kufikiri, kuchambua na kujenga hoja unastahili kutambuliwa, akieleza kuwa umakini wake katika kujadili masuala unaonesha kina cha uelewa alionao.
Msigwa amesema hayo leo Alhamisi, Septemba 24, 2026, akieleza kuwa anapomsikiliza Lissu akiendelea na hoja zake za mwisho, anavutiwa na namna anavyochambua na kufafanua kila jambo kwa kina.
Kwa mujibu wa Msigwa, Lissu ana uwezo wa kuingia ndani ya kila hoja, kuzingatia hata maelezo madogo ambayo msikilizaji anaweza kuyapita na kuyaunganisha ili kuonesha picha pana ya jambo analolieleza.
“Kinachonigusa zaidi ni umakini wake: jambo ambalo msikilizaji anaweza kulipita, yeye analisimamia na kufafanua kwa nini lina maana,” amesema Msigwa.
Msigwa amesema uwezo huo unaonesha tofauti kati ya kuzungumza kwa kujiamini na kuzungumza ukiwa umeelewa kwa kina unachokisema, akisisitiza kuwa maandalizi, kumbukumbu na umakini wa Lissu huonekana katika namna anavyojenga maelezo yake.
Amesema licha ya kuwepo kwa watu wanaoweza kutofautiana na Lissu kisiasa, uwezo wake wa kujenga hoja ni jambo linalostahili kutambuliwa, akisisitiza kuwa akili yenye maandalizi, kumbukumbu na umakini hujidhihirisha kupitia maelezo anayoyatoa.
CHADEMA Wilaya ya Kyerwa tumeanza rasmi ujenzi wa Ofsi ya Chama. Ofsi hii itakuwa ya kisasa yenye Ofsi za Chama na Mabaraza yake, pamoja na Ukumbi wa Mikutano unaoweza kuingiza watu zaidi ya 200.
Ujenzi huu ni kwa nguvu za Wanachadema na Wapenda mabadiliko.
#PeoplesPower
Today in Saint Louis, Missouri, Venerable Fulton Sheen was beatified. Cardinal Luis Antonio Tagle presided as the representative of Pope Leo XIV, joined by bishops, priests, and tens of thousands of the faithful at The Dome at America's Center.
Blessed Fulton Sheen, pray for us.
Several attempts have been made to curb the emotional reactions of attendees during the baseless treason trial of Tundu Lissu. The truth is, it is nearly impossible to restrain the feelings of supporters who haven’t seen their party leader in public for 531 days. These bursts of cheering are spontaneous; they are brief and last less than 60 seconds. The court needs to be patient. If a case built entirely on fabricated accusations is frustrating to handle, the answer is simple: drop it. #FreeTunduLissu
Kimama haamini anachokiona ,
Alidhani na Lissu akikaa jela long enough basi atauza mechi kama Mbowe….
Yani hawajui wafanye nae nini….
Watanzania tupambane kuweka pressure juu ya Lissu kwa njia yoyote ile…….
Yes, WHERE IS NCHIMBI?????????? NCHIMBI YUKO WAPI?????
Juzi nilileta hoja ya CEMENT kufikia 24K kumbe hiyo bei ya "mazoezi" ila mtaani ipo kwanzia 27K - 30K+ baadhi ya mikoa.
Huyu DIKTETA JIKE alitukuta tunanunua Cement 17K kaona tunafaidi sana anataka turudi zama za kujenga nyumba za TOPE.
Tundu Lissu: Sasa waheshimiwa majaji kama hayo mdiyo uhaini kama ilivyo tafsiriwa na sheria.
Tuanze na tutavuruga uchaguzi.
Ipo wapi katika hayo yaliyofafanuliwa na kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu?
Twende kwenye tutazuia uchagui, Haipo siyo constructively.
Twende kwenye tuhamasisha uasi, Ipo wapi?
Kwa Kingereza ni rebelion ama kama ambavyo tulisomewa katika kamusi. Kupinga jambo kwa nguvu.
Twende kwenye Kukinukisha, Ipo wapi?
Ili walau leo wanangu wherever they are wajue Baba yao yupo gerezani kwa mwaka mmoja na nusu. Baba yao kuna kosa kafanya. Halipo!
Waheshimiwa majaji kwenye haya ya sheria yapo wapi? Hayapo!
Nimefungwa Mwaka mmoja na nusu kwa uonevu. Nimeonewa. Nina ndugu hapa wanakuja kila siku hapa nimefungwa.
Nina Wanachama hapa wanakuja kutoka kila mahali mbali mbali Mwenyekiti wao nimefungwa nipo gerezani. (Watu wanalia)
Nalindwa na askari kama vile nimuuaji kwa kosa gani? Waheshimiwa majaji Kama haya hayapo ugomvi hapa ni uchaguzi
Tulitaka Kuzui uchaguzi, tulitaka kuvuruga uchaguzi.
JAJI: Twende break.
Lissu : Sawa Mheshimiwa
Jaji Ndunguru: Upande wa mashitaka.?
Job Mrema: Hatuna Kipingamizi Mheshimiwa
Jaji Ndunguru: Bado sana Kuwasilisha
Lissu: Siwezi kusema nikajifunga, nisije fanya mambo kwa hisia.
Jaji Ndunguru: Basi tutabreak kwa saa 1 na nusu. Tutarudi hapa saa 8 na nusu.
—TL kaongea kwa hisia kali sana mpaka Jaji leo kaomba yeye Break
#FreeTunduLissu
"Kosa la mtoto wake ni lipi? huyu mtoto leo hana baba, amebaki yatima katika umri huu, kosa la baba yake ni kuwa kiongozi wa Chadema, chama ambacho kimesajiliwa kwa mujibu wa sheria.Leo ni mwaka mzima hawatuambii yupo wapi. Huyu mtoto akikua hii nchi mtaiongozaje" Mhe. @HecheJohn
Karibia mwaka umepita, lakini bado Muuaji Samia hajarudisha miili ya ndugu zetu tuwazike kwa heshima wanazostahili. Muuaji kaficha miili ili kupoteza ushahidi, amesahau kuwa hakuna siri ya wawili. Iko siku tutajua walipo na atawajibishwa.
Muuaji, uwe na roho ya kibinadamu; maelfu wameshindwa kufunga misiba kwa ajili ya roho yako ya kikatili — rudisha miili! Kila Mtanganyika amdai Muuaji Samia miili ya ndugu zetu, mpaka tuwapate wote!
#IjumaaKareem
#FreeMkindikwa #FreeNchinbi #FreeTunduLissu #KatibaMpya
🇮🇱 NETANYAHU ENCERRA SEU DISCURSO COM UMA MENSAGEM FORTE:
“Durante séculos, impérios surgiram e desapareceram. Povos prosperaram e se extinguiram. O povo judeu viu tudo isso — e sobreviveu a tudo.
Não há fraqueza em nós. Não nos falta determinação. Continuaremos a prevalecer.
A eternidade de Israel não mentirá.
A razão é simples: não temos outra opção.”
🇮🇱✡️ Am Israel Chai.
Benjamin Netanyahu was on fire at UNGA. He challenged terrorist sympathisers, the UN, the World, and Islam. He held a pager and declared that Israel has no choice than to win. I love Bibi.
May God bless Israel, may peace reign over Jerusalem, and may her enemies scatter. Amen 🙏
#BREAKING: SAUDI ARABIA, TURKEY AND PAKISTAN HOLD EMERGENCY MEETING OVER HOUTHI ATTACKS
Saudi Arabia has convened an urgent high‑level meeting with its allies Turkey and Pakistan to address escalating attacks by Houthi rebels from Yemen.
Foreign ministers from the three nations condemned the strikes targeting Mecca and civilian areas, affirming Saudi Arabia’s right to defend itself.
They agreed to advance discussions to the military level, with commanders expected to meet soon under their joint defense pact, which treats an assault on one member as an attack on all.
Saudi officials reported intercepting six ballistic missiles launched by the Houthis, while issuing emergency alerts in Mecca, Jeddah, and Yanbu, a key oil export hub.
At the same time, the Grand Mufti of Saudi Arabia urged the armed forces to be prepared to sacrifice in the fight against the Houthis.
Meanwhile, Iranian President Masoud Pezeshkian stated that the Houthis must be held accountable for their actions, a remark seen as an effort to distance Tehran from the attacks.
Tundu Lissu anazungumza kwa hisia kali sana katika katika uwasilishaji wa hoja zake za mwisho (final submission). Kuna maneno magumu anatumia, Jaji anamtaka apunguze ukali wa maneno na ajikite katika msingi wa kesi. Tundu Lissu anakataa vikali kunyamazishwa. TAL anasema “I have every right to be outraged. I’m entitled to be outraged”. Outraged ni kukasirishwa sana na dhuluma au ukosefu wa haki. Kwamba amekaa gerezani kwa zaidi ya mwaka na nusu (siku 530) kwa sababu tu ya kitu alichokiita ‘nonsense ya maneno ya polisi yaliyobebwa na mwendesha mashtaka yakaletwa mahakamani na mawakili wa serikali’ ili ahukumiwe kunyongwa hadi kufa kwa hisia tu. Anasema anayo haki ya kukasirika. Anayo haki ya kuonyesha hasira zake. Na asipoongea basi mawe yatapiga kelele kwa niaba yake. #FreeTunduLissu